Swahili

Swahili

Grid View:

101 Katika Elimu Na Malezi

(0)
4.00€

     Kama ambavyo haiwezekani kwa jua kutopata moto, vivyo hivyo, haiwezekani kwa nyoyo zenye upendo, unyoofu, na furaha ya imani kutohurumiana. Marafiki wa Mwenyezi Mungu wenye uwezo wa kuwatazama viumbe kupitia jicho la Muumba; wenye uwezo wa kutazama kwa huruma, upole na upendo; na wenye kupata uzima katika chemichemi ya upendo na huruma wataend..

Alfabeti Za Quran

(0)
3.50€

     Kitabu hiki kinamsaidia mtoto kujua kusoma na kuhifadhi kiwepesi Alfabet za Kiarabu.Kommissionen..

Hadithi 40 Za Watoto Pamoja Na Visa

(0)
5.00€

     Maneno ya mtume (s.a.w) yanaitwa hadithi. Mtume wetu mpendwa alituletea Qur an au maamrisho ya M/mungu. Alitufafanulia maamrisho haya kupitia hadithi zake.Kupitia maneno yake alitufundisha yale tunayohitajika kuyafanya ili tuwe wenye furaha katika maisha haya na kesho akhera.Tunatakiwa kuyasoma mara kwa mara maneno ya mtume s.a.w. Ninafahamu k..

Hijjah Mabrur na Umrah

(0)
5.00€

     Hijja ni kuyabadilisha maisha haya kwa matendo mema na hutumika kutoa ahadi kwa Mwenyezi Mungu ya kudumisha mazuri yanayopatikana wakati wa hijja pindi unaporudi nyumbani kutoka kwenye maeneo haya matakatifu.Othman Nuri TopbashISBN: 978-9944-83-690-6..

Ikhilas na Taqwa

(0)
5.00€

     Maisha ya mwanadamu hutumika kwa hali moja au nyingine, jambo muhimu ni jinsi gani yanatumika, aidha yatumike katika uchamungu yawe ya Ikhlas kwake au yatumike katika ujahili na yasiwe na maana yoyote.Taqwa ni kule kuyadhibiti matamanio ya kimwili na kuimarisha nguvu ya kiroho kwa binadamu.Hivyo Taqwa huhitajika katika kila eneo la maisha, kat..

Jamii Ya Zama Za Furaha

(0)
5.00€

     Zama za furaha, ni kipindi kile cha wakati wa amani na furaha, ambapo binadamu walifurahia maisha mazuri na yenye neema nyingi mno.Othman Nuri TopbashISBN: 978-9944-83-668-5..

Kanun? Za Ma?sha Kutoka Kwa Makhal?fa Wanne Wal?oongoka

(0)
5.00€

     Watu katika zama hizo tukufu walitoka katika giza totoro la ujinga(Jahiliyyah) na kushika njia ielekeayo kwenye ustaarabu wa wema. Kupitia kitabu hiki tunajifunza maisha mema ili tuweze kuzijenga Dunia na Akhera zetu.Othman Nuri TopbashISBN: 978-9944-83-691-3..

Kiigizo Kisichokuwa Na Mfano Muhammad Mustafa

(0)
5.00€

     Mwenyezi Mungu mtukufu alimtuma mtume kuwa ni rehma ya milele kwa viumbe wote.Mtume mtukufu ndiye aliyekuwa kielelezo kamili katika kumfunda na kumlea mwanadamu kwa mifano ya kimatendo isiyokuwa na kikomo na ambayo ilishuhudiwa katika maisha yake. Bila shaka hakuna kiigizo kinachofanana nae, na mafanikio ya wanadamu ni katika kumuiga na kumfua..

Mtume Mteule Muhammad Mustafa - 1

(0)
10.00€

     Ukizingatia kuwa ni mwangaza wa Muhammad(s.a.w) ndiyo unaotoa sababu ya uhai wa viumbe wote, haiwezekani kutenda haki (katika simulizi), kwa kutumia maneno haya dhalili, kuelezea maisha  ya kipekee na yasiyo doa, katika binadamu aliyeheshimika, ‘kipenzi’ cha Muumba.  Lakini, manufaa yasiyohesabika yanamsubiri kila mtu, kwa mazingatio ya umahir..

Mtume Mteule Muhammad Mustafa - 2

(0)
10.00€

     Kutokana na masaibu ya zama zetu, ambapo tunakabiliwa na dhuluma, ukosefu wa huruma, upendo na imani, mwanadamu wa sasa amesongwa na kukabwa na ujinga wa zama za sasa. Njia pekee ya kuelekea kwenye tiba inapatikana katika kunufaika na siri kuu zinazopatikana ndani ya Nuru ya milele ya Muhammad (s.a.w).Othman Nuri TopbashISBN: 978-9944-83-681-4..

Mtume Wa Rehma Muhammad (s.a.w)

(0)
8.00€

     Kitabu hiki ni utangulizi mzuri juu ya maisha ya Mtume Muhammad (s.a.w), kilichoandikwa na Mwandishi maarufu wa Kituruki Sheikh Othman Nuri TOPBASH ambaye amejitolea maisha yake kwa kujifunza, kufanyia kazi, kuyaeneza na kuyasambaza mafundisho ya Mtume (s.a.w).Othman Nuri TopbashISBN: 978-9944-83-685-2..

Nyumba Yenye Amani

(0)
5.00€

     Kabla ya uumbaji wa ulimwengu, Mwenyezi Mungu Mtukufu alikua ni hazina iliyofichika. Akapenda kujulikana , ndipo akaumba vyote vilivyopo. Upendo wa Mwenyezi Mungu ndio kiini cha mapenzi yote na Mwenyezi Mungu amefanya aina nyingine za upendo ni kama hatua za maandalizi na zenye kumuinua mja kuelekea kwenye upendo wa Mwenyezi Mungu.     -Usikos..

Pumzi Ya Mwisho

(0)
3.50€

     Kuvuta pumzi ya mwisho ni jambo lisilokwepeka kwetu wanadamu. Swali muhimu kulitengezea majibu kwa wakati huu ni jinsi gani utaivuta? Kwa kila pumzi maisha yetu yanarefuka, lakini siku moja suala hili litasimama. Ustadh Othman Nuri Topbas ametupatia ukumbusho adhimu wa namna ya kujindaa na umauti ndani ya kitabu hiki, wapo walioishi maisha fur..

Showing 1 to 15 of 29 (2 Pages)